Maandag, Julie 30, 2018

Lugola Amtumbua Inspeka Mwingine wa Polisi

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemvua ujumbe wa Sekretarieti ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu, Abubakar Yunusi ambaye ni Inspekta wa Polisi Kitengo cha Uhamiaji.

Kubenea: Sina Mpango wa Kuhamia CCM na Wala Siipendi

Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubeba amesema hana mpango wa kuhamia CCM kutokana na madhira aliyoyapata.

Vrydag, Julie 06, 2018

WANANCHI MANDA LUDEWA WAANDAMANA KWA UGOMVI WA ARDHI YA KIJIJI CHAO



Na mwandishi wetu 

Ludewa

 Huyu ni Afisa mtendaji wa kijiji cha Mmanda Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe
Prisca Jonathani Mwakakae.

Wananchi wa kijiji  cha Manga katika wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wameandamana leo jully 6.2018

Waziri Tizeba afanya ziara ya kushtukiza katika Maduka makubwa ya Sukari na Mchele


Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika maduka makubwa ya kuuza sukari na mchele jijini Dar es salaam,na kubaini kuna uingizwaji wa bidhaa hiyo kimagendo na kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwakamata wahusika.

Donderdag, Julie 05, 2018

Waziri mpya wa mambo ya ndani aja kivingine

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amelivunja Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na mabaraza yote ya ngazi ya mkoa.

Mange kimambi aanzisha bifu na Nape juu ya kuwepo ccm

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mh. Nape Nnauye amesema kwamba wanaomzushia kwamba amesimamiswa uanachama wa Chama Cha Mapinzduzi watapata tabu sana.

Polepole akanusha CCM Kumwandikia Barua Nape Nnauye

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amekanusha taarifa za chama hicho kumpa barua ya onyo mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.

LHRC yazindua kitabu cha uhuru wa kujieleza na kukusanyika Tanzania




Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimezindua kitabu kidogo cha uchambuzi wa sheria zinazohusu uhuru wa kujieleza na uhuru wa kukusanyika nchini Tanzania.

Saterdag, Junie 30, 2018

Ray C: “Nilikuwa Siwezi Kupanda Stejini Bila Kutumia Madawa Ya Kulevya”


Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C amefunguka na kuelezea kipindi kigumu alichopitia wakati ameathirika na

Hamissa Mobetto Ajitosa Rasmi Bongo Fleva....Tazama Hapa Kionjo cha Wimbo wake Mpya



Mwanamitindo maarufu hapa nchini, Hamissa Mobetto ameamua kujiingiza katika sanaa ya muziki mara baada ya  kuachia ngoma inayoenda kwa jina la ”Madam hero”, ambayo ameongelea maisha yake akiamini katika kutoa tabasamu kwa jamii inayomzunguka hasa wamama na wadada.

Luis Suarez atangaza vita na Ureno


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez, amesema kwa sasa yupo FIT, tofauti na alivyoanza michezo ya hatua ya makundi katika fainali za kombe la dunia, zinazoendelea nchini Urusi.

Rais Mnangagwa Amaliza Ziara Yake Nchini na Kurejea Zimbabwe


Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Dambudzo Mnangagwa tayari amemaliza ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku mbili nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mwenyeji wake amemsindikiza katika viwanja vya ndege vya Mwalimu Julias Kambarage Nyerere tayari kurejea nchini kwake.

Vrydag, Junie 22, 2018

SPIKA WA BUNGE MSTAAFU AFIWA NA MAMA YAKE MDOGO MKOANI NJOMBE

Image result for anna makinda


NJOMBE
Na Chrispin kalinga
leo June 22.2018 Spika wa Bunge mstaafu Mweshimiwa ANNA MAKINDA ameudhulia kwenye  msiba wa Mama yake Mdogo  aliye julikana kwa jina la Aluwa Ngole ulio tokea mkoani Dar es Salaam na kusafilishwa kuludi MkoaniNjombe.