Saterdag, April 07, 2018

Mchungaji aanguka na kufariki madhabahuni

Image result for mchungaji
picha ya mtandaoni
Waumini wa kanisa la Katoliki katika Dayosisi ya Jimbo la Bungoma nchini Kenya, wako kwenye maombolezo baada ya mchungaji wao kuanguka na kufa papo hapo akiwa madhabahuni.

Mwanamke wa kwanza TANZANIA kupata DEGREE apata Tuzo ya Heshima

Mfahamu Dkt Maria Kamm akiwa mwanamke wa kwanza Tanzania kupata Degree na kwa maisha yake ya miaka 53 ameyatumia kuwashauri vijana na kuwaelimisha kwa kuwapa elimu ya bure na pia aliwahi kuwa mwalimu mkuu katika shule ya Sekondari ya Weruweru Moshi





picha hii na mirradayo


 mubashara blog

+255753121916

Marekani yaua wapiganaji watatu wa Al Shabab

Uongozi wa jeshi la Marekani umesema wapiganaji watatu wa Al Shabab wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Marekani ijumaa.

Rais Magufuli atangaza ajira mpya 1500 Polisi, JKT wapewa kipaum


RAIS Dk.John Magufuli ametangaza nafasi 1500 za ajira mpya kwa Jeshi la Polisi nchini huku akitoa maelekezo, anataka vijana wa JKT ndio wapewe nafasi hizo na si kutafuta ndugu,jamaa na marafiki wa makamanda wa wilaya na mikoa.

Madereva wa vyombo vya moto wafungiwa mtambo wa kukatia leseni (TZDLS)


Waendesha vyombo vya moto  katika Wilaya ya Tarime mkoani Mara wamefungiwa mtambo wa kukatia leseni (TZDLS) Tanzania Drivers Lincence System TZDLS ili kupunguza kero iliyokuwepo ambapo madereva hao walikuwa wanaipata huduma hiyo Mjini Musoma.

Yanga yaitwanga 2-0, Dicha ya Ethiopia


Yanga imeitwanga Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho kuwania kucheza Kombe la Makundi.

MASHABIKI WA YANGA NJOMBE WATIA FOLA


Image result for yanga

njombe

Mashabiki watimu ya yanga Wilayani Njombe MkoaniNjombe wameufurahia ushindi wa timu yao ya yanga kwa ushindi wa magoli mawili dhidi ya timu pinzani.

Gaudentia Kabaka: Wanawake Msione Fahari Kuitwa ‘Dume Jike

NA BASHIR NKOROMO

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka amewataka Wanawake kote nchini  wasione fahari kuitwa ‘Dume-Jike’ bali wawe wanawake wenye msimamo imara na jasiri kwa maendeleo yao na ya nchi kwa jumla.

Serikali yawapa siku 23 wamiliki wa nyumba

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itawafikisha Mahakamani na kuwafutia hati ya umiliki wananchi wote wanaomiliki ardhi ambao wamekuwa hawalipi kodi ya ardhi.

IGP Sirro amesa andamana uone moto uwakao

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro amesema Jeshi lake liko imara kweli kweli katika kupambana na watu wanaotaka kuleta uvunjifu wa amani nchini, huku akiwasii wanaotaka kuandamana kuacha mara moja kwani kitakachowapata wasije kulaumiana

Rais Magufuli awapa rungu polisi

mpekuzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka jeshi la polisi kufanya lolote lililopo ndani ya uwezo wao, ili kuhakikisha mani ya nchi haivunjwi na kubaki na utulivu.

Rais Magufuli Awapiga Marufuku Polisi Kufyeka Mashamba ya Bangi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake kutoyafyeka na kuyachoma moto mashamba ya bhangi na badala yake watumie njia za kiintelijensia kuwababini watuhumiwa, kuwakamata na kuwashughulikia ikiwa ni pamoja na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.

RC Gambo Amtoa Hofu Rais Magufuli Kuhusu Maandamano ya Mange Kimambi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho gambo amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutotishwa na maandamano ya mitandaoni yanayoratibiwa na Mange Kimambi, kwani mkoa wa Arusha uko salama.