Dinsdag, Januarie 16, 2018


 Yaastahajabu ya Musa haya

Gari imeruka kutoka barabarani mpaka ghorofa ya pili California (picha+3)


Maandag, Januarie 15, 2018

Ajali ya Gari yaua watu 11 na kujeruhi watu 5 mkoani Kagera.


Watu 11 wamepoteza maisha kufuatia ajali ya gari dogo HIACE aina ya Nissan Caravan yenye namba za usajili T 542 DKE ambapo imegonga magari makubwa mawili ya mizigo katika eneo la Nyangozi kata ya Nyantakara wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.


Donderdag, Januarie 11, 2018

BAVICHA TENA



Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Julius Mwita amefunguka na kusema kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka huenda ana matatizo ya akili.Mwita amesema hayo leo Januari 11, 2018

 


WAFUGAJI LUDEWA,WALIA NA WEZI WA NG'OMBE WACHINJAJI WATAJWA,


11 January 2018

 
 

 January 11, 2018

TCRA Yamtosa Mrema Sakata la Kuzushiwa Kifo 

NA CHRISPINY KALINGA.

SeeBait
Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA  kwa watu waliomzushia taarifa za kifo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imemuelekeza kiongozi huyo  kuanzia kituo cha polisi kabla ya kufika kwenye ngazi hiyo.

BAVICHA Wamshambulia Kwa Maneno Katibu Mkuu BAVICHA Baada ya Kudai Tundu Lissu ni Muongo na Anatafuta Umaarufu

January 11, 2018

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Julius Mwita amefunguka na kusema kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka huenda ana matatizo ya akili.


MKUU WA MKOA WA NJOMBE AKANUSHA YALE YALIYO TAPAKAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.














MKUU WA MKOA WA NJOMBE 


 

 LAVALAVA ATAFUTA MKE......!

LAVALAVA KAFUNGUKA “JAMANI KAMA KUNA MWANAMKE MZURI AJE MIMI NIPO SINGLE”

Msanii kutokea kundi la

 KWELI SIKU ZA MWISHO ZIMEFIKA HATA HILI NAYO Dhhhh!.

Kanisa la Muhubiri ‘anayetembea angani’ limefungiwa nchini Botswana


 











BLOG MPYA INAYO KWENDA KWA JINA CHRISPIN KALINGA BLOG

Sasa unaweza kutangaza biashara yako.

 SOMA BILA KUKOSA HII NI HISTORIA DAAAAAAH.


Mfahamu binadamu mwenye nywele nyingi zaidi duniani

 















HATARI KWELI KWELI

“Tsh Bilioni 23 zinatolewa kila mwezi na serikali kwaajili ya elimu bure” – Ole Nasha