Donderdag, Januarie 11, 2018

 

 LAVALAVA ATAFUTA MKE......!

LAVALAVA KAFUNGUKA “JAMANI KAMA KUNA MWANAMKE MZURI AJE MIMI NIPO SINGLE”

Msanii kutokea kundi la
WCB Lavalava amezungumza kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na kiboko cha ,madanga  ambapo alipoulizwa kama ana mpenzi na kwa nini hajawahi kumuweka hadharani haya yalikuwa majibu yake, “hilo swali ninaulizwa mara sabini na watu jamani kama kuna mwanamke mzuri ananiona aje mimi nipo single sina wakumtangaza”

Pamoja na hayo amezungumzia masuala ya upendeleo yanayodaiwa kuwepo katika record label ya WCB ambapo majibu yake yalikuwa haya…..“Diamond amekuwa akisnap nyimbo za wasanii wote wa WCB zikitoka sema kipindi hichi ameonekana kama anamapenzi yaliyopitiliza kwangu lakini siyo kweli,”– Lavalava

“Anapenda nyimbo za watu wote wa WCB, siyo kweli kwamba Diamond anawapendelea wengine kufanya show kubwa ni kwasababu na nyimbo tatu au nne” – Lavalava.

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking