Donderdag, Januarie 11, 2018

 SOMA BILA KUKOSA HII NI HISTORIA DAAAAAAH.


Mfahamu binadamu mwenye nywele nyingi zaidi duniani

 















leo January 11, 2018 nakusogezea stori kutoka katika Mtandao wa World Ranking ambapo umemtaja Yu Zhenhuan
wa China  kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani.
Mwili wa Yu Zhenhuan umefunikwa na nywele nyingi tofauti na binadamu wengine hali iliyosababishwa na yeye kuwa na ugonjwa unaofahamika Hypertrichosis.

Sasa anataka kuondoa sehemu muhimu ya nywele kutoka kwenye mwili wake. Lakini nywele zote zitahitajika kuteketezwa kwa laser na utaratibu huu utamsababishia maumivu makali sana katika mwili wake.

Yu Zhenhuan amekuwa kwa muda mrefu anaishi na mkewe ambaye amekuwa akimsaidia kupata njia ya kumwezesha kupunguza nywele katika mwili wake huo.

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking