Dinsdag, Januarie 30, 2018

Hizi ndio Faida za kunywa maji yenye ndimu asubuhi



Kunywa maji yasiyo na kitu wakati wa asubuhi huwapa tabu baadhi ya watu. Lakini maji yaliyotiwa ndimu kidogo huwa na radha nzuri zaidi.

Maji yenye ndimu yanafainyingi katika mwili wa binadamu kwani husaidia mambo mengi ikiwemo Mmeng’enyo mzuri wa chakula tumboni, pia huboresha kinga za mwili kwani ndimu au limai zina Vitamini C na potasiumu ikwa wingi.

Vile vile unywaji wa maji yenye ndimu husaidia kukinga  mwili na magonjwa kama saratani na kiharusi na pia husafisha mwili pamoja na damu. Maji yenye ndimu pia hurekebisha mfumo wa  sukari katika mwili wa binadamu kwani inafanya sukari kuwa katika kiwango kinachotakiwa na pia maji yenye ndimu yanasaidia kupunguza uzito wa binadamu na kuondpa harufu mbaya mdomoni.
chrispiny kalinga

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking