Dinsdag, Januarie 16, 2018


New Video: Chibwa & Tanah Tanchy – Alone

By  | 




Wasanii wa muziki wa dancehall Bongo, Chibwa na Tanah Tanchy wameachia video ya ngoma yao mpya iitwayo ‘Alone’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Osama kutoka Free Nation, wakati video imeongozwa na Director Eddy.

https://youtu.be/tJfqhblIz-o

chrispiny kalinga

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking