Donderdag, Januarie 11, 2018

HATARI KWELI KWELI

“Tsh Bilioni 23 zinatolewa kila mwezi na serikali kwaajili ya elimu bure” – Ole Nasha



 


Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nsha leo January 11, 2018 akiwa katika uzinduzi wa shule ya msingi Enyorata Ereko wilayani Ngorongoro amesema serikali inatenga Tsh Bilioni 23 kila mwezi  kwa ajili ya elimu bure.


Ameongeza kuwa wanafunzi katika eneo hilo wamekuwa wakitembea kilometa 28 kwenda na kurudi kutoka shule suala linalofanya mwanafunzi kutumia takribani robo tatu ya siku nzima ili kwenda na kurudi kutoka shule na kubakiwa na masaa machache ya kusoma.

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking