Saterdag, Augustus 25, 2018

JIFUNZE NAMNA YA KUTUMIA KUEPUKA KUPATA MIMBA AU KUSABABISHA MIMBA

Image result for LOVE
Kwa msaada zaidi au kama hujaelewa unauwezo wa kunitafuta kwa sim nambari:0753121916 kwa mashart nafuu.usiogope masaa 24 nipo kwaajili yako 

Tumia Chandurua kwa kumlinda Mama na Mtoto.
By chrispin kalinga.,,,,,

Kuna njia kuu tatu za asili ili kupanga namna ya kupata mtoto au kutopata:-

(a) Kalenda - Ilibuniwa na Dr.Nash Mwaka 1928. Lakini njia hii inauhakika wa 66% tu. 
(b) Kupima Joto; Hii njia ina uhakika kama wa 98% . Kwa ulaya inawezekana sana kutumia njia hii kuliko Africa kwa sababu ya gharama. matatizo ya malaria na magonjwa mengine kama Typhoid.
(c) UTE - Billing Ovulation Method - BOM. Njia hii ilibuniwa na Dr. Evelyne na inauhakika wa 99.9% katika kupanga uzazi wako. Njia hii ni ya uhakika kwa sababu mwanamama au mwanadada huweza kujua kama sehemu yake ya uke ina utelezi mlaini (Ute) na wakati huo ndio wa kupata mtoto. 

Ni vema sana kujifunza njia hii kwa umakini kwa sababu lazima ujue wewe mwandamo wako ni wa aina gani pia. Kuna miandamo kama minne. 
(i) Mwandamo mfupi - 18-24days huyu anakuwa kwenye hedhi mara mbili kwa mwezi 
(ii) Mwandamo wa wastani - 25-34days (iii) Mwandamo mrefu 35 - 50 - 1000 days. wanawake wa namna hii yai lao hukaa 24hours na kutoweka. Watu wanamna hii kupata ujauzito ni kazi ila sio tasa. Ingawaje husemwa kuwa tasa lakini sio tasa ni suala la timing tu wanapata mtoto.
(iv) Mwandamo usio na utaratibu mfupi, mrefu wastani, wakati mwingine kww mwezi mara tatu au nne. 

Huu mwandamo nao una vipengele vitatu pia:-
(1) siku za mapema 
(2) Siku ya kilele na siku tatu baadaye na 
(3) Siku za baadaye

LA MUHIMU NI KUONA SIKU ZA UZAZI ZA ZISIZO ZA UZAZI_ Si vyema kuita siku za hatari kwa sababu mtoto sio kitu cha hatari maana hata wewe ungekuwa hatari!!

Jitahidi kujifunza na kutumia njia hii na ikibidi sana ukimshirikisha mwenzi wako namna bora ya kupangilia njia hii! Ubarikiwe

TAHADHARI:Usitumie Vitanzi (Vinyongeo vya watoto tumboni mwako) maana wewe ni wathamani mno kuliko uuaji unaofanyia katika tumbo lako! 

Kumbuka wewe mwanamke huchangia (YAI) na Mme huchangia (MBEGU) na Mungu muumba (PUMZI YA UHAI). 

Madhara ya Vitanzi au vidhibiti Mimba:-
(a) Hushambulia ubongo
(b) Wanawake wengi hunyonyoka nywele
(c) Kuganda mishipa ya damu
(d) kuota ndevu kwa akina mama
(e) Kuumwa kichwa sana
(f) Kipanda uso
(g) maziwa ya mama kukaukiana
(h) moyo kwenda mbio na madhara katika mapafu
(i) Wengine hedhi hukauka kabisa na wengine huvurugika kabisa bila utaratibu aliozaliwa nao
(j) huchochea umalaya kwani mwanamke anakuwa chombo cha Starehe
(k) Miguu kuvimba, hutafuna mifupa na kuwa miembamba, kizunguzungu na kichefuchefu muda wote
(l) Depression - huzuni na hasira
(m) kukosa tendo la ndoa kwa mwanamke
(n) matatizo ya kuona kwa macho n.k 


mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking