Woensdag, Februarie 28, 2018
Zimbabwe: Kamisheni ya Amani na Maridhiano yaanza kusikiliza tuhuma za ukatili na mauaji
(MPYA) SIMULIZI (MAISHA): ULIMWENGU WA KUTISHA 01
Chrispiny kalinga blog
Simulizi Mix Entertainment-Video Ad.
Chrispiny kalinga blog
Kiss Daniel - Yeba [Official Video]
Chrispiny kalinga blog
Teknomiles - Diana [Official Video]
Chrispiny kalinga blog
TAZAMA MAAJABU HAYA JINSI ALIVYO JITUPA BAARINI
Tizama jinsi ilivyo kuwa hapo chini
hapo ndipo moja ya abilia aliye kuwa anasafili na baadaye akaamua kujitupa ndani ya bahari kwenye eneo lenye kina kilefu
Chrispiny kalinga blog
hapo ndipo moja ya abilia aliye kuwa anasafili na baadaye akaamua kujitupa ndani ya bahari kwenye eneo lenye kina kilefu
Chrispiny kalinga blog
Treni ya abiria yapinduka na kuanguka

Treni ya abiria ya Shirika la Reli Tanzania iliyokuwa ikitokea mkoani Dodoma kwenda Kigoma imepata ajali katika eneo la Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza.
Dinsdag, Februarie 27, 2018
LEO MBOWE AMEONGEA JAMBO LA MAANA SANA; MSIKILIZE
Chrispiny kalinga blog
New AudiO of diamond platnumz - KOSA LANGU
Chrispiny kalinga blog
RAIS MAGUFULI AONGEA NA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE CLOUDS360
Chrispiny kalinga blog
Nandy Na Aslay Walivyonogesha Usiku Wa Mapenzi Escape One
Chrispiny kalinga blog
FULL HIGHLIGHTS: MAJIMAJI FC 1-2 YANGA SC (ASFC - 25/02/2018)
Chrispiny kalinga blog
TENENDE AGRICULTURE COMPANY LIMITED YAJA KIVINGINE 2018
TENENDE AGRICULTURE COMPANY LIMITED.
Kampuni ya uzalishaji waUnga wa Mahindi Wilayani Njombe Mkoani Njombe inapenda kuwatangazia watanzania wote kwa jumla kuwa wao ni Wazalishaji wa Unga aina ya Sembe pamoja na Mafuta ya kupikia ainaya Alizeti sambamba na hilo ni Wasambazaji na Wauzaji wa Jumla na lejeleja pamoja na kumfikishia mteja wao popote alipo ndani ya Nchi ya Tanzania Kwa bei poa kabisa .
WATUMISHI NCHINI WATAKIWA KUWAHUDUMIA WANANCHI BILA UBAGUZI
chrispin kalinga blog
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma wawatumikie wananchi kwa uweledi na ustadi bila ya ubaguzi wa aina yoyote.
Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana (Jumatatu, Februari 26, 2018) wakati akizungumza na watumishi wa wilaya za Masasi na Nanyumbu kwa nyakati tofauti.
Waziri Mkuu ambaye yuko mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi aliwasisitiza watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Alisema Rais Dkt. John Magufuli amesisitiza watumishi wa umma wawatumikie wananchi bila ya ubaguzi wowote pamoja na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
“Watumishi wa umma lazima mtambue kwamba msimamo wa Serikali ni kuwahudumia wananchi bila ya ubaguzi wa kidini, kiitikadi na kipato.”
Waziri Mkuu alisema ni vyema watumishi hao kuanza kujitathmini kwa sababu Serikali haitowavumilia watumishi watakaoshindwa kuwajibika kwa wananchi.
Pia aliwataka watendaji hao kuacha urasimu na wahakikishe kila fedha iliyotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inatumika kama zilivyoelekezwa.
Waziri Mkuu aliwaagiza watendaji hao wawe na mpango wa kuwatembelea wananchi kwa ajili ya kusikiliza kero zinazowakabili na kuzipatia ufumbuzi.
(mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMANNE, FEBRUARI 27, 2018.
Chrispiny kalinga blog
Saudi Arabia yawafuta kazi Wakuu wa majeshi
Saudi Arabia imewafuta makamanda wa vyeo vya juu jeshini akiwemo mkuu wa majeshi.
Mfalme Salman pia amefanya mabadiliko kwa makanda wa vikosi vya nchi kavu na vile vya angani.
Taarifa hizo zilichapishwa na shirika rasmi la habari la Saudi Arabia la SPA, lakini hakuna sababu iliyotolewa ya kufutwa kwa makamanda hao.

TFF yabadili tena ratiba za Simba na Yanga
Shirikisho la soka nchini limebadili tena ratiba ya ligi kuu soka Tanzania Bara mara hii ikihusisha michezo ya timu za Simba na Yanga kusogezwa mbele na mwingine kurudisha nyuma.
Kwa upande wa mchezo wa Simba SC dhidi ya Stand United uliotakiwa kuchezwa jumapili ya Februari 4, umerudishwa nyuma kwa siku mbili hadi Ijumaa Februari 2, ukipigwa katika uwanja wa taifa Dar es salaam.
Mchezo huo umerudishwa nyuma ili kuipa nafasi klabu ya Simba kujiandaa na mchezo wake wa hatua ya kwanza kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry ya Misri utakaopigwa Februari 7.
Kwa upande wa Yanga mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar uliokuwa uchezwe Februari 3 kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro umepelekwa mbele na tarehe yake itatajwa hapo baadae.
Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 45 kwenye mechi 19, huku wapinzani wao Yanga wakiwa katika nafasi ya pili na alama 37 kwenye michezo 18. Yanga kesho itakuwa ugenini kucheza na Ndanda FC kwenye mchezo wa ligi kuu.

Hawa ndio waamuzi watakaochezesha mechi ya Yanga vs Rollers
Mwamuzi wa kati atakuwa Pacifique Ndabihawenimana akisaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja Willy Habimana na mwamuzi msaidizi namba mbili Pascal Ndimunzigo wakati Kamishna wa mchezo huo anatoka Swaziland Mangaluso Jabulani Langwenya
Mechi ya marudiano itachezwa Machin 17, 2018 nchini Botswana na itachezeshwa na waamuzi kutoka Morocco.
Mwamuzi wa kati atakuwa Redouane Jiyed akisaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja Youssef Mabrouk na mwamuzi msaidizi namba mbili Hicham Ait Abou, mwamuzi wa akiba Samir Guezzaz na kamishna wa mchezo huo anatoka Afrika Kusini Gay Makoena.
Chrispiny kalinga blog
Sondag, Februarie 25, 2018
Donderdag, Februarie 22, 2018
MWAMWA KALINGA AKIWA KWENYE MAJARIBIO YA RUNINGA
Mmiliki wa mtandao huu wa blog akifanyiwa majaribio na kurugenzi wa chuo cha uandishi wa habari kwa lengo la kuangaliwa kama alikuwa makini darasani
Chrispiny kalinga blog
wa kwanza kushoto ni daniel lameck na wapili alioye vaa shati ya njano ni Host wa kipindi ni Chrispin kalinga na aliye vaa kofia ni Mkurugenzi wa Chuo cha Uandishi wa habari mkoani njombe maeneo uya sabasaba na wamwisho kulia ni jeremia Makweta.
Chrispiny kalinga blog
Teken in op:
Plasings (Atom)