Maandag, Mei 28, 2018

Mkunga –nyota : Mti Wenye Msaada Mkubwa Kwa Wanawake Wenye Tatizo La Kutobeba Ujauzito.


Na. Dokta   Mungwa  Kabili…..0744   000  473.
Jina  halisi  la  mti  huu  ni  MKUNGA-NYOTA  na  sio MGUNGA –NYOTA  kama  baadhi  ya  watu  wanavyo uita  kimakosa.

Rais Na Mwenyekiti Wa CCM Dr Magufuli Aongonza Mkutano Wa Halmashauri Kuu Ya Taifa (NEC) Ya CCM Jijini Dar Es Salaam Leo

Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa meza kuu katika

Kagera: Mke Amuua Mume Wake Kisa Wivu wa Mapenzi

Victoria Salvatory (58), mkazi wa kata ya Katoma, Kagera anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Salvatory Iteganira (62) kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi.

Donderdag, Mei 24, 2018

MTOTO AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA LUDEWA, WANANCHI WAZUNGUMZIA



Na Maiko Luoga Ludewa
Mtoto Anaekadiliwa Kuwa na Umri wa Miaka Miwili Mwenye Jinsi ya Kiume Amekutwa Akiwa amefariki kando ya Mto Mhangachi Katika Uwanja wa Mpira wa Shule ya Sekondari Chief Kidulile Wilayani Ludewa katika Mkoa wa Njombe.

Jaji Mkuu Awataka Viongozi na Watendaji wa Mahakama Kutenda Haki

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA

Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewataka viongozi mbalimbali wa mahakama ikiwemo Naibu Wasajili, Mahakimu, Watendaji, Wakuu wa Idara na Vitengo kutenda haki kwa watumishi walio chini yao.

Woensdag, Mei 23, 2018

Kesi Ya Babu Tale Yaahirishwa, Arudishwa Mahabusu


Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam, Hamis Taletale maarufu Babu Tale, leo Mei 23, 2018 saa 6 mchana amefikishwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza kesi inayomkabili, akiwa chini ya ulinzi wa polisi.

Dinsdag, Mei 22, 2018

zijue njia sahihi za uzazi wa mpango


Pilule contraceptive.jpg

kutana na profesa mwakalinga hapa.



Kufikia miaka ya 1930wanasayansi walikuwa wametenga na kutambua mfumo wa homoni za steroidi na kupata kuwa vipimo vya juu

ZIJUE SIKU HATARI ZA KUPATA MIMBA

Image result for mzunguko wa hedhi

N akama hujaelewa nipigie simu kwa 0753121916 ili nikueleweshe.

Muhimu kwanza ni kujua mke wako (au mwanamke wako sijui mkuu) ana mzunguko wa siku ngapi.

Israel yatumia ndege hatari zaidi ya kivita duniani

 Israel imesema kwamba imetumia ndege za kivita zenye uwezo wa kukwepa mitambo ya rada ambazo zimetengenezewa Marekani kwa mara ya kwanza katika vita.

Kamanda aliyewaonya wanaume afunguka haya


Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi Visiwani Zanzibar, Hassan Nassir Ali, amefunguka juu ya uhamisho wake aliopewa siku chache baada ya kuwaonya wanaume juu ya tabia zao zisizofaa kwenye jamii.

Yanga yakanusha taarifa ya kupotea kwa fedha

Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake Dismas Ten, umekanusha taarifa zilizoenea mitandaoni na katika baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa mapato ya fedha yaliyotokana na uuzaji wa kalenda na majarida yake zimeishia mifukoni mwa baadhi ya viongozi.

Hatimaye Yanga yaambulia ushindi dhidi ya Mbao FC


Klabu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC na kuimaliza ukame wa ushindi kwenye timu hiyo uliodumu kwa mechi tisa tangu kocha Lwandamina aachane na timu.

Bingwa Wa Magonjwa Yote Sugu Yanayosumbua Kama Vile Pumu, Vidonda Vya Tumbo, Busha, Nguvu Za Kiume, Kisukari,

BABU MADUHU NI BINGWA WA MAGONJWA YOTE SUGU YANAYOSUMBUA KAMA VILE PUMU,

Ripoti ya Ufisadi Mali za CCM Yatua kwa Rais Magufuli

Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu ukiwamo utapeli na usimamizi mbaya wa mali hizo.

Viongozi Wawili CHADEMA Wavuliwa Uanachama

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanachama wawili wa chama hicho.
Na Anitha Jonas –WHUSM

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt. Harrison Mwakyembe amemwagiza Msajili wa Vyama vya Michezo nchini kuwaandikia barua ya kali ya onyo Kampuni mbili zinazoendesha Mchezo wa Ngumi za kulipwa nchini.

Waziri Mkuu: Shida ya Umeme Mikoa ya Kusini Imekwisha

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shida ya umeme iliyokuwa inaikabili mikoa ya Lindi na Mtwara hivi sasa imekwisha.

Babu Tale Atiwa Mbaroni

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam,  Hamis Taletale maarufu Babu Tale, ametiwa  mbaroni na kufikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa amri ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es  Salaam.

Mtanzania Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mazingira

Na.Mwandishi Wetu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Antonio Guterres ametangaza uteuzi wa Bi.Joyce Msuya kutoka Tanzania kuwa naibu katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa anayeshughulikia program ya mazingira yenye makao makuu yake Nairobi nchini Kenya.

Watu 7 wafariki Sumbawanga kwa Kipindupindu.... 44 walazwa hospitalini

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu na wagonjwa 115 wakiruhusiwa kurudi nyumbani.

Saterdag, Mei 19, 2018

Kikosi cha Yanga kinachoikabili Mwadui


19th May 2018
1. Youthe Rostand
2. Hassani Kessy
3. Gadiel Michael
4. Said Makapu

Njombe mji wanaendelea na mazoezi dhidi ya mchezo wa kesho

Image result for njombe mji
njombe mji fc wanaendelea kujipanga katika mchezo wa kesho dhidi ya mtibwa katika viwanja vya nyumbani. 

NIMEKUSOGEZEA JIFUNZE DALILI ZA MIMBA KUALIBIKA

Leo tumeamua kuzungumzia jambo hili ambalo huwakumba watu wengi sana katika familia zao, wengi wamekuwa wakitokewa na jambo hili katika mimba zao za kwanza na mimba zao zinazoendelea katika familia zao na kushindwa kupata watoto.

Wasichana msikubali kuolewa na wanaume wenye viwanja mabondeni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wanawake wa mkoani humo kutokubali kuolewa na wanaume ambao wanaviwanja mabondeni.

Spika Ndugai Awashauri Vijana Wagombee Udiwani na Ubunge Kukabiliana na Tatizo la Ajira

Spika wa Bunge la Tanzania mheshimiwa Job Ndugai amewataka vijana nchini kugombea nafasi mbalimabali  za uongozi ikiwemo udiwani na ubunge ili kutatua tatizo la kukosa ajira kutokana na kukosa uzoefu.

MAGAZETI YA LEO MEI 19.2018