Saterdag, Maart 10, 2018

DR. SUSAN KOLIMBA AKABIDHI VITABU KWA SHULE ZA LUDEWA

Katika Ziara yake leo wilayani Ludewa Dr.
Susan Kolimba Akabidhi Vitabu 120 vya masomo ya Sayansi kwa kidato cha Kwanza hadi kidato cha nne Katika Shule ya Sekondari Chief Kidulile pamoja na Vitabu 120 Katika Shule ya sekondari Ulayasi Jumla katika Shule hizo mbili amekabidhi vitabu 240 Vya Masomo ya Sayansi  pia Ameahidi kutoa vitabu kwa Madarasa ya Kidato cha Tano na kidato cha Sita.

Dr. Susan Kolimba ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa Wa Njombe Kupitia chama cha Mapinduzi CCM pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda Hapa nchini Tanzania. 


mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking