Dinsdag, Maart 13, 2018

Kauli ya BAVICHA baada ya Naibu Katibu Mkuu kujiuzulu


Image result for Bavicha

picha na millardayo
March 12, 2018 Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha)  limezungumzia kuhusu ishu ya kujiuzulu kwa Naibu Katibu Mkuu wake, Gertrude Ndibalema.

Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Katibu Mkuu wa BAVICHA, Julius Mwita amesema taarifa hizo ameziona kwenye mitandao kama watu wengine walivyoziona.
“Kama mlivyoona hiyo taarifa imeandikwa taarifa kwa umma na mimi nmeisoma kama sehemu ya umma, akiutaarifu umma kuwa anajiuzulu nafasi yake ili aweze kupata fursa ya kufanya shughuli zake za kitaaluma” -Mwita

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking