Dinsdag, Februarie 06, 2018

Chirwa ampita John Bocco kwa mabao

Mshambuliaji Obrey Chirwa wa Yanga amempita kwa mabao mahodha wa Simba John Bocco baada ya kufikisha mabao 10.


Bocco ana mabao tisa ya kufunga katika Ligi Kuu Bara, Chirwa naye amefikisha idadi hiyo leo.

Chirwa amefunga mabao matatu, hat trick katika mechi dhidi ya Njombe mji kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam iliyoisha kwa Yanga kushinda kwa mabao 4-0.


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking