Saterdag, Februarie 03, 2018

Live Ikulu: Rais Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa JWTZ

Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

Bofya hapa kutazama

https://youtu.be/JVAuziXJSnI



Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking