Saterdag, Februarie 03, 2018

Rosa Ree Afanya Maajabu..Atoa Wimbo Mkali Akimshirikisha Billnass..Unaweza Kusikiliza na Kudownload Hapa



Msanii wa Hip Hop wa Kike Bongo Aliyewakalisha wengine ameachia wimbo mpya akiwa
kamshirikisha mkali mwingine anayeitwa Billnass..Wimbo huo umekuwa gumzo vituo vya radio kila kona ..Unaweza Kuudownload hapa Chini ni bure kabisa

https://mkito.com/song/19830?referrer=fe1a3cf8fec696a3d85b39364e2951f6967ac7ae

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking