Sondag, Februarie 04, 2018

Nafasi za Kazi: Katibu Mahsusi II, Mwendesha Mitambo II, Msaidizi wa Kumbukumbu II

 
 Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao ya kazi kwa nafasi zifuatazo:   10.
KATIBU MAHSUSI III (PERSONAL SECRETARY III)-NAFASI (2) -NGAZI VA MSHAHARA TGS.B   SIFA ZA KUAJIRIWA: Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne/Sita waliohitimu mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua yaTatu. Wawe wamefaulu somo...


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking