Saterdag, Februarie 03, 2018

RC, SENDEKA ABAINI UJINGA UNAO TENDWA MLANGALI, AWAPA UHURU WAUZA MKAA

NJOMBE-MLANGALI
Na Chrispiny kalinga
Picha na Maiko luoga
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ludewa katikati mwenye shati jeupe aliyenyosha mkono Dr. Nelson Kimoro akitoa Maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh, Christopher Olle Sendeka juu ya Ujenzi wa majengo
mapya Katika Kituo cha Afya Mlangali.

Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh, Christopher Olle Sendeka na wakwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mh, Andrea Tsere wakimsikiliza mganga Mkuu wa wilaya ya Ludewa Dr. Nelson Kimoro Wakwanza kulia akitoa ufafanuzi katika ujenzi wa Kituo cha Afya Mlangali,


Kushoto aliyevaa suti ni Diwani wa kata ya Mlangali CCM Mh, Hamis Kayombo Akishiriki Shughuli ya kuchanganya mchanga na Smenti kwaajili ya ujenzi katika picha Akiwa na Askari wa JWTZ ludewa,


Diwani wa kata ya Mlangali Mh, Hamis Kayombo Kushoto Akiwa na Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mh, Andrea Tsere Katikati  wakiendelea kushirikiana na Mafundi katika ujenzi wa Majengo ya kituo cha Afya Mlangali, Picha zote na matukio na Maiko Luoga, Ludewa

Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mh, Andrea Tsere Akishiriki ujenzi wa Msingi wa majengo ya Kituo cha Afya Mlangali katika picha Mkuu huyo wa wilaya Akiwa na Mwiko wa ujenzi na Jiwe mkononi.


Baadhi ya wananchi wa Mlangali waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe wakiendelea kumsikiliza kwa umakini Mkuu huyo wa Mkoa wa Njombe.

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking