Donderdag, Maart 01, 2018

BASATA WASHUGHULIKIWE NA ANCO MAGU




Tokeo la picha la basata tanzania
Wanamziki chipkizi Mkoani Njombe wayalauma Mamlaka ya basata kwa kufungia nyimbo za wasanii wa mziki wa kisasa kama ambavyo hivi kalibuni wamefungia nyimbo
ambazo zimechezwa zaidi ya siku tisini kisha wao wamefungia kipindi hiki





hali kadhalika wasanii hao wakaongeza kwa kusema kuwa kuchelewa kwa basata kufungia nyimbo hizo kunasababisha nyimbo kuendelea kupata umaarufu kwa sababu kila atakaye sikia kuwa basata wamefungia wimbo flani lazima wimbo huo mitandaoni ili wausikilize vizuri

pia wamemuomba rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani johh magufuli kuwashughulikia basata ipasavyo


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking