Woensdag, Februarie 07, 2018

“Hali ni mbaya kuliko ilivyokuwa mwanzo” –Nape Nnauye





Tokeo la picha la nape nnauye

Mkutano wa Bunge la kumi umeendelea Dodoma ambapo Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao
katika taarifa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye na hapa anazimiliki dakika zake tano.

https://youtu.be/PhbLTIbikYc

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking