Vrydag, Februarie 02, 2018

PEMBEJEO, MBOLEA CHANGAMOTO

Mwonekano wa Chumba cha Mbolea Katika Nyumba ya Wakala wa pembejeo Ludewa Mjini


Upatikanaji wa Mbolea Ludewa Mjini bado ni Tatizo Inafika na kupokelewa juu Kwa juu Bila kukidhi mahitaji ya wakulima Wilayani Ludewa,

Mwandishi wetu amepita Katika Nyumba za Biashara ya Mbolea Ludewa mjini na kujionea Hali halisi milango hiyo ya Biashara ikiwa imefungwa Huku wauzaji wa Mbolea hiyo wakikiri wazi kuwa Mbolea Hakuna Wakati wakulima wakionekana kuwa na Uhitaji wa mbolea hiyo nakushindwa  Kuipata.

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking