Sondag, Februarie 04, 2018

WAHI UPATE OFA YA KUSOMA BURE KABISA..Eckros school of journalis

 TANGAZO


Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Eckros school of journalism kinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2018-2019 kwa kozi zifuatazo kwa ngazi ya
cheti.
.Uandishi wa habari na utangazaji
.Uongozaji wa hotel za kimataifa
.Ualimu wa awali
.Mafunzo ya udereva
.Mafunzo ya kompyuta program zote
.Mafunzo ya u DJ
.Uzalishaji wa video
.Uhadhiri
.Mafunzo ya kiingeleza
.Ungojazi rasilimali
.Utunzaji wa kumbukumbu
.Mafunzo ya muziki
.Uzalishaji wa muziki

SIFA ZA WAOMBAJI
.Wahitimu wote wa darasa la saba,kidato cha nne na kidato cha sita na kuendelea.

Chuo kinapatikana Njombe mjini ndani ya uwanja wa sabasaba,pia tunatoa huduma za hostel kwa wanao hitaji.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba 0753121916 au 0762795251 wahi sasa nafasi ni chache.

JAZA FOM MAPEMA ILI NAFASI YAKO IANDIKWE .

Chrispiny kalinga blog

 http://chrispinkalinga.blogspot.com

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking